Latest News
Tuesday, 30 June 2015

NYALANDU AZINDUA KAMPENI YA UHAMASISHAJI KUTEMBELEA HIFADHI


Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko na Utalii wa TANAPA Bw. Ibrahim Musa wakati alipowasili kwenye klabu ya Yacht ya Mwanza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji watanzania kutembelea Mbuga za Taifa iliyozinduliwa leo jijini Mwanza ikiwashirikisha Bodi ya Utalii Tanzania TTB, Katika Picha kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi za mbuga za Taifa TANAPA Dr. Allan Kijazi.
Kampeni hiyo ambayo inaanza kesho Julai 1 itakuwa ni ya miezi 6 mpaka  Desema 31 na kauli mbiu yake inasema   “Tembelea Hifadhi Uzawadiwe”
????????????????????????????????????
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi za mbuga za Taifa TANAPA Dr. Allan Kijazi akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bi. Devotha Mdachi wakati wa uzinduzi huo.
????????????????????????????????????
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi za mbuga za Taifa TANAPA Dr. Allan Kijazi akifuatana na Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu wakati alipowasili kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji Watanzania kutembelea Mbuga za taifa kulia ni Mkurugenzi wa Utalii na Masoko TANAPA Bw. Ibrahim Mussa.
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akiongozana na Mkurugenzi wa Masoko na Utalii TANAPA Bw. Ibrahim Mussa na Johnson Manase Meneja wa Utalii TANAPA.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wahariri wakiwa katika uzinduzi huo
????????????????????????????????????
Baadhi ya wahariri wakiwa katika uzinduzi huo
????????????????????????????????????
Baadhi ya maofisa wa TANAPA wakiwa katika uzinduzi huo
????????????????????????????????????
Wahariri wakifuatilia matukio mbalimbali katika uzinduzi huo
????????????????????????????????????
Mwandishi Jimmy Mengere na Kasilda Mrimira wakiperuzi simu zao wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo.
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii akiwa katika meza kuu wakati hotuba za viongozi mbalimbali zikiendelea kulia ni Mkurugenzi wa TANAPA Dr. Allan Kijazi na kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa TTB Bi. Devotha Mdachi, Mkurugenzi wa Masoko na Utalii TANAPA Bw. Ibrahim Mussa na Katibu Tawala wa mkoa wa Mwaza Bw. Faiza Issa.
????????????????????????????????????
Mkurugenzi wa Masoko na Utalii TANAPA Bw. Ibrahim Mussa akizungumzia kampeni hiyo.
????????????????????????????????????
Mkurugenzi wa TANAPA Dr. Allan Kijazi akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Mwanza leo.
????????????????????????????????????
Mkurugenzi wa Masoko na Utalii TANAPA Bw. Ibrahim Mussa kulia  na Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bi. Devotha Mdachi wakifuatilia matukio katika hafla hiyo.
????????????????????????????????????
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Bw. Faiza Issa akimkaribisha Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu ili kuzungumza katika uzinduzi huo.
????????????????????????????????????
Baadhi ya magari  ya kubeba watalii yaliyozinduliwa leo katika kampeni hiyo iliyozinduliwa jijini Mwanza.
????????????????????????????????????
Waziri Nyalandu akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo
????????????????????????????????????
Waziri Nyalandu akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo na kuwaasa wanafunzi wa vyuo vikuu kushiriki kikamilifu katika Kampeni hiyo
????????????????????????????????????
Waziri Nyalandu akikata utepe kuzinduz boti maalum za kubeba watalii kutoka jijini Mwanza kuelekea kisiwa cha Saanane kwa ajili ya kujionea utalii ulioko katika kisiwa hicho.
????????????????????????????????????
Waziri Nyalandu akiwaaga baadhi ya watalii wa ndani waliokuwa wakiondoka na boti kuelekea kiswa cha Sanane kilichopo mkoani Mwanza.
????????????????????????????????????
Boti iliyobeba watalii hao wa ndani ikiondoka jijini Mwanza kuelekea kisiwa cha Sanane
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa magari ya kubeba watalii jijini Mwanza katika mpango wa kampeni ya kuhamasisha watanzania kutembelea mbuga za taifa.
????????????????????????????????????
Waziri Nyalandu akipiga picha ya pamoja na wahariri wa vyombo vya habari mara baada ya kuzindua magari ya kubebea watalii jijini Mwanza.
????????????????????????????????????
Waziri Nyalandu akiwaaga watalii hao wakati walipokuwa wakiondoka.
????????????????????????????????????
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi za mbuga za Taifa TANAPA Dr. Allan Kijazi na Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu wakipiga picha ya pamoja na kupongezana mara baada ya uzinduzi huo.
????????????????????????????????????
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi za mbuga za Taifa TANAPA Dr. Allan Kijazi akiwaaga watalii hao wakati walipokuwa waiondoka.


Next
This is the most recent post.
Older Post
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: NYALANDU AZINDUA KAMPENI YA UHAMASISHAJI KUTEMBELEA HIFADHI Rating: 5 Reviewed By: Bongo Trending