Latest News
Sunday, 8 February 2015

Fashion : Mishono mipya ya vitenge kwa akina dada angalia hapa

Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema Wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili hebu angalia kwa makini haya mavazi yaliyo shonwa kwa kitenge uvae upendeze Imeandaliwa na Shadrack Mgaya











  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Fashion : Mishono mipya ya vitenge kwa akina dada angalia hapa Rating: 5 Reviewed By: NEWS EXTRAL