Latest News
Monday, 29 June 2015

H baba azungumza kuhusu CHEKETUA kayasema haya.....


.Muimbaji Hamis Baba aka H Baba leo ameamua kuandika kwenye ukurasa wake Instagram kuhusu video mpya ya Ali Kiba iitwayo Chekecha iliyochezwa kama ‘Exclusive’  June 29 kwenye kituo cha luninga maarufu Trace Tv ya Ufaransa.
Ujumbe huo unasomeka hivi; ‘#KIUKWELI WEE JAMAA@officialalikiba UMENIFURAHISHA SANA KWENYE HII #VIDEO KAMA NILIOTA VILE #UMEITENDEA HAKI WIMBO HUU WA #CHEKETUA PIA UMECHEZA VIZURI SANA NAUFUNDI WASAUTI SASA NIMENJOY SANA KUITAZAMA NARUDIA RUDIA TUU#SALUTE KIBA #NAONGEA KAMA#MWANAMUZIKI MWENZAKO #salute#KINGKIBA HUU WIMBO UMEUTENDEA HAKI SANA @VIDEO HATARIIII#NILICHOPENDA KWENYE HII VIDEO#LOCATION ZAKE TAMU SANA#UTAZANI SIO MAREKANI KAMA KINO AU MIGO #UVAAJI ULIOVAA UNAENDANA NA #CHEKETUA LILE BEAT LAKO NANGUO NIMEPENDA#UNAJUA NINI UNAFANYA #HONGERAZAKO #WAHUSIKA WALIOMO NDANI YA VIDEO #KIAFRIKA ZAIDI#HONGERAA SAAAANA
#SINA TEAM YOYOTE HUMU NDANI ILA #KIBA ANAJUA TUACHE MASIHAraaaa
MWANAMUZIKI kumkubhali mwenzio inaruhusiwa SIO KIFUNGO CHA MIAKA#30 JERA kama wenzangu wanavyoogopa #hii video nikaliiiiiiiiiiiii#wimbo mkaliiiiiiiiiiiiiiiiii


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: H baba azungumza kuhusu CHEKETUA kayasema haya..... Rating: 5 Reviewed By: Bongo Trending