Kuna ule msemo wa mtoto wa nyoka ni nyoka, kwa mtoto wa Cristiano Ronaldo iko hivyohivyo… ukimwangalia ana dalili zote kufuata njia ya baba yake kwenye soka.
Ronaldo na mtoto wake huyo ambaye kwa sasa ana umri wa miaka mitano wameonekana wakijipumzisha katika ufukwe wa Bahamas huku dogo akiwa busy muda wote ni yeye na mpira, baba yake alikuwa pembeni pia wakiendelea kula zao good times.
0 comments:
Post a Comment