Latest News
Saturday, 27 June 2015

Bifu ya wema na diamond hatarii.

Wema sepetu aliwahi kuwa mpenzi wa Diamond Platnumz, japo mapenzi yao yaliota mbawa baada ya Visa vingi lakini hata hivyo mpaka sasa haijajulikana chanzo rasmi cha Diamond na Wema Kuachana kawa sababu kila mtu anasema yake.
Akiongea katika kipindi chake cha In My Shoes kinachoruka EATV, Wema Sepetu amesema hawezi kumsapoti Diamond Platnumz katika Tuzo za MTV ambazo Diamond anawania Vipengele vitatu ambavyo ni Best Live, Best Male na Best Collaboration, Wema amesema hawezi kusapoti Diamond kwa sababu Diamond hajamwomba afanye hivyo, laiti Diamond akimwomba sapoti atamsapoti.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Bifu ya wema na diamond hatarii. Rating: 5 Reviewed By: Bongo Trending