Ali Kiba alikuwa Nchini South Afrika Kishoot Video ya Nyimbo yake yaChekecha! Ambayo inafanya Vizuri katika Station mbalimbali ndani na nje ya Tanzania.
Ali kiba amethibitisha kumalizika kwa video baada ya kupost picha na kuandika "DONE".
Hizi ni picha za utengenezaji wa Video ya Chekecha iliyofanyika South Afrika.
Team Kiba Get Ready.
0 comments:
Post a Comment