Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe mwenye umri wa miaka 90 amenaswa na kamera za waandishi wa habari wakati akishuka kwenye ngazi mara baada ya kuhotubia wafuasi wake huko harare tukio hilo limeibua mijadala upya nchini Zimbabwe wananchi wengi wanadai Mugabe umri wake umemtupa mkono sasa baadhi ya wapiga picha waliopiga picha za tukio hilo walilazimishwa kufuta picha hizo Angalia video hapo chini
Beyoncé aachilia ngoma ya kwanza kwanzia ajifunguwe na mapato yake yote
atowa msaada Puerto Rico
-
Beyoncé Beyoncé ametangaza rasmi kutoa mapato yote ya wimbo wa Remix ya "Mi
Gente," kusaidia watu tofauti kwenye visiwa vya Puerto Rico.
Beyonce aliandik...
7 years ago
0 comments:
Post a Comment