Latest News
Saturday, 7 February 2015

Angalia hapa picha za Mchumba wa Diamond Platnumz Zari TheBoss Lady Mimba ilivyokua sasa Mambo hadharani

Siku za star kutokea Bongo Diamond platnumz anaetamba hivi sasa kwa nyimbo yake ntampata wapi kuitwa baba zinaendelea kuyoyoma Wiki mbili nyuma tetesi ziliibuka kuwa Mchumba wake Zari Theboss Lady kuwa mjamzito marafiki wa karibu wa star huyu wamerithibitisha hilo 
Lakini pia wawili hao wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kuwachanganya mashabiki wao juzi kupitia kurasa zao za Instagram mastar hao wote wawili waliweka picha za mtoto wa kiume na wakike kisha waka sema mashabiki wao wachague kati ya picha A ambayo alikuwa mtoto wa kike na picha B aliyokuwa mtoto wa kiume kupitia ukurasa wa zari wa FACEBOOK kuna picha zilionyesha kitumbo kilivyokua 

NA MWANDISHI WETU



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Angalia hapa picha za Mchumba wa Diamond Platnumz Zari TheBoss Lady Mimba ilivyokua sasa Mambo hadharani Rating: 5 Reviewed By: NEWS EXTRAL