Latest News
Monday, 2 February 2015

Official Video | AY ft Ms Triniti, La'myia - It's Going Down | watch&download

Bendera ya Tanzania yaendelea kupepea katika mataifa makubwa duniani kupitia sanaa ya muziki siku za karibuni wasani wa Tanzania wamekuwa wakifanya vizuri katika mzika hata katika mataifa makubwa Diamond na Ay ni miongoni mwa wasanii waliopeperusha bendera ya Tanzania 
Leo AY kaachia video yake mpya aliyowashirikisha wasanii kutoka Jamaica inayokwenda kwa jina la It's Going Down - AY ft Ms Triniti, La'myia Iangalie hapa


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Official Video | AY ft Ms Triniti, La'myia - It's Going Down | watch&download Rating: 5 Reviewed By: NEWS EXTRAL