Jumatatu ya June 29, 2015 Ali Kiba ameandika kwenye page yake kuwa video yake mpyaChekecha itachezwa na moja ya vituo vikubwa vya TV Afrika vinavyopewa heshima kubwa kwa kuisambaza burudani.
Ilikua saa 11:35 ya asubuhi kupitia kituo cha TRACE TV kiliicheza video hiyo kwa mara ya kwanza ikiwa ni hit single nyingine inaitwa ‘Chekecha’
0 comments:
Post a Comment