Latest News
Monday, 29 June 2015

Ebana eee Kutana na watu ambao wanaishi uchi Duniani.

Mwandishi Mark Haskel Smith.

Watu wengi wasingejihisi vyema kuvua nguo zao
zote na kusalia uchi wa mnyama katika maeneo
ya uma,lakini kwa wengine ni maisha yao.

Mwandishi kutoka nchini Marekani Mark Haskel
Smith alikabiliana na changamoto zote na
kuweza kuishi bila nguo.Iwapo upo katika uwanja
wa ndege ,huwezi kufanya masihara kuhusu
bomu.

Na iwapo uko na watu walio uchi huwezi kufanya
masihara kuhusu matiti.
Na mungu wangu,usisisimkwe,utaamrishwa
uondoke asema Haskell Smith.
Haya ni mambo mawili aliyogundua alipotembelea
maeneo ya kupumzika ya watu walio uchi
duniani.

Ziara yake ya kwanza ilikuwa katika mkahawa wa
Desert Sun Resort huko Palm Springs Carlifonia.

'Nilishtuka'.'Nilikuwa na wasiwasi katika chumba
changu cha hoteli,nikijipaka mafuta baada ya
mafuta hadi nilipotoka nje,nilikuwa niking'ara
sana'',.
''Kuna watu chungu nzima katika kidimbwi cha
maji wwaliokuwa ndani ya kidimbwi kimoja cha
maji walioniangalia na kujifunika nyuso zao.

Nilijihisi vibaya sana,nilifikiri watu hawa
wamenipita na zaidi ya miaka 20 lakini
nilipojiangalia chini ''ooh mungu wangu''.

Baada ya kuzuru eneo hilo alizuru maeneo
mengine ya watu walio uchi barani Ulaya.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Ebana eee Kutana na watu ambao wanaishi uchi Duniani. Rating: 5 Reviewed By: Unknown