Latest News
Monday, 29 June 2015

AJALI Picha 4 za ajali ya gari waliyoipata Nizar Khalfan na Shaban Kado

Ajali imetokea Bahi Dodoma na kwenye gari miongoni mwa waliokuwemo ni pamoja na golikipa Shaban Kado na mchezaji Nizar Khalfan wa Mwadui FC na chanzo ni airi la nyuma kuchomoka.
Kwenye interview na millardayo.com Kado amesema hakuna yeyote aliyepoteza maisha kaisipokuwa majeraha waliyoyapata akiwemo Shaban Kado ambaye ameumia pia mkono wake wa kulia ambapo walikua watu wanne ndani ya gari.

shaban Kado 2

shaban kado 3
shaban kado 4



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: AJALI Picha 4 za ajali ya gari waliyoipata Nizar Khalfan na Shaban Kado Rating: 5 Reviewed By: Anonymous