Latest News
Friday, 26 June 2015

Maelfu wafurika mkutano wa utambulisho wa viongozi wa ACT Mpanda


Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara za kutambulisha viongozi wake. 
DSC_0844
DSC_0789
Wanampanda wakishangilia hotuba ya Zitto Kabwe wakati wa utambulisho wa viongozi wa chama hicho mjini Mpanda.
DSC_0777
Mwanaharakati na Mshauri wa chama cha ACT Wazalendo, Mama Terry, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea  na ziara ya kutambulisha viongozi wake.
DSC_0746
WanaMpanda na bango lenye ujumbe wa kumkaribisha Zitto Kabwe.
 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Maelfu wafurika mkutano wa utambulisho wa viongozi wa ACT Mpanda Rating: 5 Reviewed By: Anonymous