Fashion : Mishono mipya ya vitenge kwa akina dada angalia hapa
Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema Wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili hebu angalia kwa makini haya mavazi yaliyo shonwa kwa kitenge uvae upendeze Imeandaliwa na Shadrack Mgaya
0 comments:
Post a Comment